Subscribe to our newsletter and stay updated on the latest developments and special offers!
Makala hii imeangazia uchaguzi wa nchini Uganda matokeo yakisubiriwa kutolewa leo, mkutano wa Lome nchini Togo kuhusu mustakabali wa amani ya mashariki mwa DR Congo, hali ya nchini Sudan, Somalia, na ...
UCC ilieleza kuwa hatua ya kusitisha kwa muda huduma za intaneti ilichukuliwa ili kuzuia usambazaji wa habari potofu, wizi wa kura, pamoja na shinikizo la mtandaoni linaloweza kuchochea ghasia au ...
Siku moja baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo, Museveni amesema upinzani ungeaibika ingekuwa wanachama wake wote milioni 10 wangejitokeza kupiga kura. Lizzy Masinga & Mariam Mjahid Chanzo cha ...
Jeshi mitaani, mashaka juu ya uchaguzi wa haki na hofu ya vurugu. Wengi wanatumaini mabadiliko, lakini wengine wanahofia machafuko, ukandamizaji na muendelezo wa utawala wa miongo minne wa Rais Yoweri ...
Mamlaka ya mawasiliano katika taifa hilo la Afrika Mashariki inasema imechukua hatua hiyo kuzuia usambazwaji wa habari za kupotosha na kuchochea vurugu. Licha ya kuthibitisha kuzima intaneti, ...
Wanaharakati wanaopinga kawi inayotokana na mafuta na watetezi wa mazingira nchini Uganda wanakabiliwa na unyanyasaji wa mara kwa mara, ikiwa ni pamoja na kukamatwa kiholela kwa sababu ya kupinga ...
Hofu ya ukosefu wa ajira na umaskini ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazomkabili Rais Yoweri Museveni katika muhula wake wa saba huku mjadala ukishika kasi kuhusu nani atarithi kiti cha urais baada ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results