Kwa wengi njiwa ni kitoweo na hufugwa kwa mapenzi si biashara. Lakini Deogratius Temba, kijana kutoka Dodoma, Tanzania amebadilisha dhana hiyo. Anafuga njiwa wa kipee. Hawa ni njiwa wanaojulikana kama ...
BENKI Kuu ya Kenya (CBK) imewaonya wafanyabiashara wa maua na wamiliki wa maduka ya zawadi dhidi ya kutumia noti kutengeneza ...
Je, unafahamu jinsi nyumba zinavyopambwa wakati wa sikukuu ya Krismasi? Katika mji wa Alaska Krismasi ipo mwaka mzima. Binti mmoja mwenye umri wa miaka 21 anasimulia maisha ya eneo alilokulia.
Anatumia vijiti vya lambalamba kutengeneza mapambo ya ofisini na majumbani. Alichukua hatua hiyo baada ya kukosa mkopo wa chuo kikuu hivyo ilimlazimu kutengeneza bidhaa ili aweze kujikimu. Wakati huu ...
Katika makala haya utafahamu kuhusu sanaa ya ubunifu wa mapambo ya ndani na jinsi ya kutimiza ndoto zako za kuwa mbunifu wa kimataifa, Karibu Evangeline Godwin Meena msanii wa ubunifu wa mapambo ya ...
Serikali ya Zanzibar imepiga marufuku matumizi ya fedha za noti kwenye mapambo ya harusi na sherehe nyingine. Ni baada ya kuibuka taarifa juu ya kikundi kinachotengeneza fedha bandia. Maafisa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results