MATOKEO yasiyoridhisha inayoendelea kuyapata Simba kwenye Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa, yamemuibua nyota wa zamani ...
STRAIKA wa Pyramids ya Misri na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Mayele, ameonyesha wazi furaha yake baada ya Clatous Chama, ...
DAR ES SALAAM: MSEMAJI wa Klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amewaomba mashabiki wa klabu hiyo kumpokea na kumpa ushirikiano beki ...
Mtaani raia husema, ‘ni noma sana’ , sasa ni hivi..! Pambano la watani wa jadi nchini Tanzania kati ya Simba na Yanga lazima lipate mshindi. Bila shaka huzuni na butwaa litawakumba mashabiki wa timu ...
DAR ES SALAAM: KLABU ya Simba SC imerejea rasmi katika uwanja wa mazoezi kuanza maandalizi ya mchezo muhimu wa Ligi ya ...
Alikuwa kipa tegemeo kwa kipindi chake cha uchezaji kiasi cha kuitwa Tanzania One, huyu ndiyo kipa aliyeifikisha Simba fainali ya CAF, mwaka 1993 na kufungwa na Stella Atowar katika mchezo wa ...
Simba SC inakaribia kucheza moja ya mechi zake kubwa zaidi katika historia ya klabu hiyo, mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Renaissance Sportive de Berkane ya ...
Tanzania inaweza kusimama kwa muda Jumamosi kupisha pambano la watani wa jadi Simba na Yanga ambalo limepangwa kupigwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia saa 10: 00 za jioni. Mabingwa watetezi ...
Dar es salaam, Tanzania – Sakata la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi yake ya mwisho na mabaunsa na maafisa wanaoaminika kuwa wa Yanga katika uwanja wa Mkapa siku ya Ijumaa usiku, lilipelekea debi hiyo ...
Simba baada ya kichapo katika Mkondo wa kwanza wa fainali ya Kombe la shirikisho Barani Afrika cha 2-0 dhidi ya RS Berkane wameanza maandalizi ya mechi ya maruadiano, May 25 Nchini Tanzania. Lakini ...
Klabu ya CS Sfaxien imepewa adhabu ya kucheza mechi mbili za nyumbani bila uwepo wa mashabiki katika uamuzi uliotolewa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Mechi mechi hizo ni dhidi ya Simba na FC ...