EKI wa Simba, Antony Mligo amemtaja beki wa kati wa timu hiyo, Rushine De Reuck licha ya ubora alionao kiwanjani, pia ni ...
HAROUB Evody ndiye aliyekuwa shujaa kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 kati ya wenyeji Simba na Mtibwa Sugar kwa kukabidhiwa tuzo ya mchezaji bora baada ya dakika 90 kutamatika.
Simba SC inakaribia kucheza moja ya mechi zake kubwa zaidi katika historia ya klabu hiyo, mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Renaissance Sportive de Berkane ya ...
KLABU ya Simba kwa mara ya kwanza imekiri kuwa haikuwa na kikosi bora cha kuweza kupambana kwenye michuano ya kimataifa hususan Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu. Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ...
ALIYEWAHI kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Said Tully, amesema sababu kuu inayopelekea kikosi cha timu yao kushindwa kufanya vizuri katika mashindano mbalimbali wanayoshiriki iko ‘ndani ya ...
Tanzania inaweza kusimama kwa muda Jumamosi kupisha pambano la watani wa jadi Simba na Yanga ambalo limepangwa kupigwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuanzia saa 10: 00 za jioni. Mabingwa watetezi ...
Hatimaye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika 2024/25 (TotalEnergies CAF Confederation Cup), yamefikia tamati baada ya fainali kati ya Simba Sports Club (Simba) kutoka Tanzania, na Renaissance ...
Timu Nne za Tanzania Simba, Yanga, Azam FC na Singida zimeendelea kujifua vyema kuelekea michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho. Simba SC, ambao wamekuwa na rekodi nzuri kwenye Ligi ...
Simba, tai, tembo na hata samaki wa kale — timu 24 zinazoshiriki AFCON ya 35 nchini Morocco zimebeba majina ya utani yanayoakisi historia, utamaduni na matarajio ya mashabiki wao. Mataifa 24 ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results