(Nairobi) – Serikali ya Tanzania haijachukua hatua za kisheria na kisera za kutosha zinazohitajika katika kulinda haki ya wasichana wajawazito na wamama vijana ya kupata elimu na kurekebisha miaka ya ...
Mnamo Machi 31, 2020, Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Dunia iliidhinisha mkopo wenye utata wa kiasi cha Dola za Marekani 500 Milioni kwa serikali ya Tanzania kwa ajili ya program ya elimu ya sekondari ...
Serikali ya Tanzania ilipelekwa mahakamani mwezi uliopita kwasababu ya kupiga marufuku wasichana wa shule waliopata ujauzito na kina mama wadogo kuhudhuria shule. Ni moja ya nchi chache duniani ambayo ...
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu limesema Benki ya Dunia inapaswa kushirikiana na Tanzania kuhakikisha wasichana wote wajawazito na wanafunzi wenye watoto wanaendelea na masomo kwenye ...
Shirika la kimataifa la haki za binaadamu Human Rights Watch limesema wasichana wanaofukuzwa shule kwa kupata ujauzito Tanzania wanakosa haki yao ya kupata elimu. Wanataka marufuku iondolewe. Kwa ...
Benki ya Dunia imepongeza hatua ya serikali ya Tanzania kuwaruhusu wasichana wajawazito au kina mama wachanga kuhudhuria shule, baada ya takwimu zake kuonesha kuwa, kila mwaka wasichana 120,000 huacha ...
Serikali ya Tanzania imetangaza rasmi kuwaruhusu wanafunzi waliokatiza masomo yao kwa kwasababu ya kupata ujauzito wakiwa shuleni kurejea masomoni kupitia mfumo rasmi. Uamuzi huo umetangazwa leo na ...
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la nchini Kenya limetoa ripoti hivi karibuni inayoangazia tatizo la ndoa za utotoni linavyokandamiza haki za msingi za mtoto wa kike na kumnyima ...