Wanajeshi wa Sudana wamesema wapiganaji wake wamedhibiti Ikulu ya Rais iliyoko katikati mwa eneo la Khartoum. Katika wiki za hivi majuzi wanajeshi wa Sudam walikuwa wamezidisha mapigano dhidi ya ...
Sauti za mashambulizi ya anga, silaha za kukabiliana na ndege za kivita na mizinga viimesikika Khartoum mapema ya leo na moshi mweusi uliotanda juu ya sehemu za jiji hilo, wakati huu ambao mapigano ya ...
Mji mkuu wa Sudan, Khartoum na mji dada wa Bahri imetikiswa tena na mashambulizi ya anga siku ya Ijumaa wakati mapigano kati ya jeshi na wanamgambo wa kikosi maalum cha RSF yakiingia wiki yake ya tano ...