Takriban watu wanne wamefariki na karibu 40 hawajulikani walipo baada ya feri iliyokuwa imebeba watu 65 iliyokuwa ikielekea kisiwa cha Bali nchini Indonesia kupinduka Jumatano jioni, kwa mujibu wa ...